Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
MAABARA YA KISASA YA UTAFITI KATIKA SEKTA YA UVUVI NCHINI YAJENGWA KUPITIA MRADI WA SWIOFISH
November 21, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Sekta ya Uvuvi, Dkt. Rashid Tamatamah amesema serikali imetilia mkazo suala la utafiti katika sekta ya uvuvi nchini ili kuhakikisha inapata taarifa sahihi ya maeneo ya mavuvi, kuzalisha vifaranga bora vya samaki pamoja na chakula bora cha samaki.
-
DKT. TAMATAMAH ARIDHISHWA NA MATOKEO CHANYA YA MRADI WA SWIOFISH.
November 18, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Sekta ya Uvuvi, Dkt. Rashid Tamatamah amefanya ziara ya kikazi ya siku mbili katika mikoa ya Pwani na Tanga.
-
SERIKALI KUIMARISHA UVUVI WA BAHARI KUU
November 15, 2020Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amesema kuwa katika kipindi cha miaka 5 ijayo ya awamu yake ya pili ya uongozi atahakikisha sekta ya uvuvi inakuzwa.
-
NI MARUFUKU KULISHA MIFUGO VYAKULA VIBOVU - SERIKALI.
November 14, 2020Serikali imepiga marufuku matumizi ya vyakula vilivyopoteza ubora wa kutumiwa na binadamu na kutumiwa kama vyakula vya mifugo kabla ya kuthibitishwa kwanza na wataalam wa maabara ya mifugo.