Habari

  • SERIKALI YAONYA ‘WANAOCHAKACHUA’ MAZIWA

    December 07, 2020

    ​Serikali imewataka baadhi ya wafugaji wenye mtindo wa kuongeza unga katika Maziwa kuacha kufanya hivyo kwani sio tu inaharibu biashara ya maziwa katika soko la ndani ya nchi bali hata soko la nje.

  • UZALISHAJI WA MAZIWA NCHINI WAONGEZEKA, WATANZANIA WAASWA KUNYWA MAZIWA KUBORESHA AFYA ZAO

    December 04, 2020

    Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amesema uzalishaji wa maziwa nchini unazidi kuongezeka kutoka lita bilioni 2.7 kwa mwaka hadi lita bilioni 3.01, huku matumizi ya maziwa yakiripotiwa kuwa bado yako chini.

  • ​PINDA AWATAKA WATAAMU WA MIFUGO KUISHAURI SERIKALI KUBORESHA SEKTA YA MIFUGO

    December 04, 2020

    Wataalamu wa Uzalishaji na Uendelezaji wa Mifugo na Uvuvi nchini wametakiwa kutumia taaluma zao kuishauri Serikali namna bora ya kuboresha na kuendeleza Sekta ya mifugo na Uvuvi ili ziweze kutoa mchango wa kutosha katika kukuza uchumi wa nchi na kuongeza Pato la taifa na uchumi wa mtu mmoja mmoja.

  • WATAALAMU WAHIMIZWA KUINUA MINYORORO YA THAMANI YA MIFUGO

    December 03, 2020

    Wataalamu wa Mifugo wametakiwa kutumia taaluma zao na kushiriki kikamilifu katika kubuni mbinu za kisasa za kuinua viwango vya minyororo ya thamani ya mazao ya Mifugo na Uvuvi ili kuleta tija na kukidhi mahitaji ya uchumi wa viwanda kwa maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi.

.