Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WATUMISHI WA UMMA WANAOINGIZA KWA MAKUSUDI MIFUGO KWENYE HIFADHI NA KUNYANYASA WAFUGAJI WAONYWA
February 18, 2021Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema atazungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii kuhusu kitendo cha baadhi ya watumishi wa umma walio chini ya wizara hiyo
-
WAFUGAJI NA WATENDAJI WATAKIWA KUZINGATIA MWONGOZO WA CHANJO ZA MIFUGO.
February 08, 2021Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewataka wafugaji pamoja na wataalam wa sekta ya mifugo kuusimamia na kuutekeleza mwongozo wa chanjo za mifugo.
-
SERIKALI KUTUMIA ZAIDI YA MILIONI 100 KUIMARISHA RUHILA
February 07, 2021Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah amesema kuwa Serikali imepanga kutumia Shilingi Milioni 110 kwa ajili ya kuimarisha miundo mbinu ya Kituo cha Kutotolesha Vifaranga vya Samaki cha Ruhila ili kiweze kuzalisha vifaranga vitakavyokidhi mahitaji yaliyopo sasa.
-
AGIZO LA WAZIRI NDAKI LAZIDI KUSHIKA KASI, WENGINE ZAIDI MBARONI, UTOROSHAJI WA MIFUGO
February 07, 2021Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limewakamata watuhumiwa wawili wa utoroshaji wa mifugo maeneo ya mipakani.