Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
Prof. Ole Gabriel amuaga Dkt. Nandonde
September 08, 2020Ulikuwa unafahamu kuwa Dkt Nandonde alikuwa Mwanafunzi wa Prof. Ole Gabriel wakati akichukua shahada yake ya kwanza? Msikilize hapa Prof. Ole Gabriel akielezea hilo.
-
DKT NANDONDE AKIWAAGA WATUMISHI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
September 08, 2020Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Uzalishaji Dkt. Felix Nandonde amewaaga Viongozi, Watendaji na watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo...
-
Neno la Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mhe. Selemani Mzee baada ya kutembelea wizara ya Mifugo na Uvuvi.
September 08, 2020Tazama aliyoyasema Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mhe. Selemani Mzee baada ya kutembelea mabanda ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya Nanenane kwenye viwanja vya Ngongo - Manispaa ya Lindi. (05.08.2020)
-
Tazama wataalam wa Mifugo na Uvuvi na Wadau wakizungumzia maendeleo ya sekta hizo. (07.08.2020)
September 08, 2020Tazama makala fupi ya wataalam wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na Wadau waliofika katika mabada ya Wizara wakizungumzia masuala ya maendeleo ya sekta ya mifugo na sekta ya Uvuvi wakati wa Maonesho ya Nanenane kwenye Viwanja vya Ngongo - Manispaa ya Lindi. (07.08.2020)