Albamu ya Video

  • ANGALIA HAPA MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI HASUNGA WAKIJIVUNIA MAFANIKIO YA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI

    ANGALIA HAPA MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI HASUNGA WAKIJIVUNIA MAFANIKIO YA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI

    September 08, 2020

    Ni kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 28 ya Kilimo (NANENANE) uliofanyika kwenye viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu

  • MATUKIO YALIYOJIRI MWEZI JULAI, 2020

    MATUKIO YALIYOJIRI MWEZI JULAI, 2020

    September 08, 2020

    Tazama hapa muhtasari wa matukio yaliyojiri ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kipindi cha Mwezi Julai, 2020

  • YALIYOIBULIWA NA NARCO HUKO KILIMANJARO!

    YALIYOIBULIWA NA NARCO HUKO KILIMANJARO!

    July 23, 2020

    Tazama hapa uone masuala yaliyoibuliwa na NARCO huko Kilimanjaro

  • PROF. GABRIEL ASISITIZA TAFITI ZAIDI ZENYE TIJA KWA WAFUGAJI.

    PROF. GABRIEL ASISITIZA TAFITI ZAIDI ZENYE TIJA KWA WAFUGAJI.

    July 23, 2020

    Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel amesisitiza kufanyika tafiti zaidi zenye tija kwa wafugaji mara baada ya kutembelea shamba la malisho la Bw. Mnyonaki Saileni lililopo kijiji cha Msujile Kata ya Sejeli Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.

  • Tathmini ya wadau kuhusu tasnia ya ngozi

    Tathmini ya wadau kuhusu tasnia ya ngozi

    July 15, 2020

    Wadau wa Mfuko wa maendeleo ya Mifugo (LDF) walikutana leo (14.07.2020) katika ofisi ndogo za Wizara ya Mifugo na Uvuvi zilizopo jengo la NBC jijini Dodoma lengo likiwa ni kujadili hatma ya tasnia ya ngozi hasa baada ya kuisha kwa ugonjwa wa Corona.

.