Albamu ya Video

 • WAWEKEZAJI WAIOMBA SERIKALI KUANGALIA UPYA TOZO ZA MIFUGO

  WAWEKEZAJI WAIOMBA SERIKALI KUANGALIA UPYA TOZO ZA MIFUGO

  May 08, 2021

  Wawekezaji wa Kiwanda cha nyama cha Eliya Food kilichopo wilayani Longido, mkoani Arusha wameiomba serikali kuangalia upya tozo za mifugo na viwanda vinavyochakata mifugo na mazao yake wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi alipotembelea kiwanda hicho katika ziara yake ya kikazi mkoani Arusha Disemba 24, 2020.

 • GEKUL AWAAGIZA WAKURUGENZI HALMASHAURI KUTENGA FEDHA ZA MIFUGO.

  GEKUL AWAAGIZA WAKURUGENZI HALMASHAURI KUTENGA FEDHA ZA MIFUGO.

  May 08, 2021

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Pauline Gekul amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri kutenga asilimia 15 ya fedha zinazotokana na mapato yatokanayo na mifugo kwa ajili ya kuendeleza sekta ya mifugo.

 • NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWATANGAZIA VITA WANAOJIHUSISHA UVUVI HARAMU NA KUKWEPA KULIPA KODI

  NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWATANGAZIA VITA WANAOJIHUSISHA UVUVI HARAMU NA KUKWEPA KULIPA KODI

  May 08, 2021

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Pauline Gekul amewatangazia vita wanaojihusisha na uvuvi haramu na kukwepa kodi.

 • SALAMU ZA MWAKA MPYA 2021

  SALAMU ZA MWAKA MPYA 2021

  May 08, 2021

  Hizi hapa ni Salamu za Mwaka Mpya 2021 kutoka kwa Mawaziri wa Mifugo na Uvuvi.

 • SALAAM ZA MWAKA MPYA 2021 KUTOKA KWA KATIBU MKUU (UVUVI), DKT. RASHID TAMATAMAH

  SALAAM ZA MWAKA MPYA 2021 KUTOKA KWA KATIBU MKUU (UVUVI), DKT. RASHID TAMATAMAH

  May 08, 2021

  Hizi hapa ni Salamu kwa watumishi na wadau wote wa Sekta ya Uvuvi kwa Mwaka Mpya 2021 kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah.

.