Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
KAA WA AJABU MTAZAME HAPA!
July 15, 2020Tazama hapa umuone kaa wa ajabu anayepatikana katika kisiwa cha Budya
-
Wafugaji Mkuranga wakabidhiwa vifaranga kujiinua kiuchumi!
July 15, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kukabidhi vifaranga kwa vikundi mbalimbali hapa nchini ili kuwaiongezea shughuli za kiuchumi. Shuhudia namna wizara ilivyokabidhi vifaranga kwa vikundi vilivyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
-
ANGALIA HAPA YALIYOJIRI JUNI 2020
July 11, 2020Tazama hapa matukio yaliyojiri ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kipindi cha Mwezi Juni, 2020.
-
MCHANGO WA TVLA KWENYE SEKTA YA MIFUGO NCHINI
July 11, 2020Haya ndio yanayofanywa na TVLA katika kuhakikisha Mifugo inakuwa na afya njema hapa nchini
-
TAFIRI (SABASABA 2020)
July 09, 2020Ukifika kwenye banda la TAFIRI hapa kwenye maonesho ya SabaSaba, haya ndo utakayofaidika nayo.