Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WADAU WAFANYA TATHMINI HALI YA TASNIA YA NGOZI
July 15, 2020Wadau wa Mfuko wa maendeleo ya Mifugo (LDF) wakutana kujadili hatma ya tasnia ya ngozi hasa baada ya kuisha kwa ugonjwa wa Corona.
-
CHATO KUWA NA KITUO KIKUBWA ZAIDI CHA UZALISHAJI VIUMBE MAJI TANZANIA
July 09, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia sekta ya Uvuvi imeikabidhi kampuni ya ukandarasi ya Serikali ya Corporation Sol eneo na mkataba wa Ujenzi wa Kituo kikubwa cha Ukuzaji wa Viumbe Maji ili kazi hiyo ianze mara moja.
-
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YADHAMIRIA KUFIKIA MALENGO YA KISEKTA KATIKA UCHUMI WA KATI.
July 09, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaendeleza jitihada za kuhakikisha inafikia malengo ya kisekta baada ya Tanzania kuorodheshwa na Benki ya Dunia hivi karibuni kuwa moja ya nchi zilizoingia katika uchumi wa kati ulioainishwa katika dira ya taifa ya mwaka 2020-2025.
-
WATENDAJI WANAOIHUJUMU SEKTA YA MIFUGO KUCHUKULIWA HATUA
July 09, 2020Baraza la Veterinari nchini limetakiwa kuwachukulia hatua kali watendaji na wataalamu wa sekta ya mifugo wanaofanya hujuma kwa wafugaji.