Karibu

Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi, usalama wa chakula bila kuathiri ustawi wa Wanyama na uhifadhi wa mazingira, kujenga na kusaidia uwezo wa kiufundi na kitaaluma kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Sekta Binafsi ili kuendeleza, kusimamia na kudhibiti uendelevu wa rasilimali za mifugo na uvuvi.

.