Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Waziri Mpina akishuhudia zoezi la utiaji saini baina ya Makampuni mawili NARCO na NECAI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina akishuhudia zoezi la utiaji saini baina ya Makampuni mawili NARCO kutoka Tanzania na NECAI kutoka Misiri kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanda kikubwa kitakacho shughulika na mazao ya mifugo, ambapo Kiwanda hicho kitajengwa Mkoa wa Pwani.