Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Waziri Mpina akiangalia mitambo iliyopo katika kiwanda cha maziwa cha Kilimanjaro Fresh kilichopo Jijini Arusha

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina atembelea kiwanda cha Kilimanjaro fresh kilichopo Jijini Arusha.