Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
WAZIRI MPINA AKAGUA BAADHI YA ZANA ZA MIFUGO KATIKA SHAMBA LA KAFOI - ARUSHA NA KILIMANJARO

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga Joelson Mpina atembelea Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (LITA) na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) zilizopo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambazo ni Campus ya LITA Tengeru- Arusha,TALIRI na NARCO zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.