Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
WAJUMBE WA BARAZA LA VETERINARI TANZANIA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) kwa Mamlakaaliyonayo chini ya Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Veterinari Na. 16 ya Mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Baraza la Veterinari Tanzania. Ili kuwafahamu wajumbe walioteuliwa bofya hapa