Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
UZINDUZI WA KUANDAA MPANGO KABAMBE MPYA WA SEKTA YA UVUVI

katika Uzinduzi wa Zoezi la kufanya Mapitio na kuandaa Mpango Kabambe mpya wa Sekta ya Uvuvi (Fisheries Master Plan), na Utekelezaji wa Mpango wa Usimamizi wa Samaki wadogo na wakati wanaopatikana katika Tabaka la juu la maji,Jijini Dodoma