Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Maonesho ya Sabasaba 2018

Siku ya kilele ya maonesho ya 42 ya Sabasaba yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Sabasaba tarehe 07/07/2018, yalifana sana na kuvutia wadau mbalimbali na kutembelea mabanda ya Sekta ya Mifugo na Uvuvi, ili kujionea fursa mbalimbali zilizopo katika Sekta hizo.