Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
ORODHA YA MADAKTARI WA MIFUGO WANAOTAKIWA KUHUISHA TAARIFA ZAO KABLA YA 19TH -JUNE-2020

Madaktari wa mifugo hapa nchini wametakiwa kujisajili na kuhuisha taarifa zao kwenye daftari la usajili. Kupata orodha ya majina ya madaktari wa mifugo wanaotakiwa kuhuisha taarifa zao. bofya hapa