Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
NAIBU WAZIRI ULEGA AKABIDHI CHANJO YA MIFUGO - MKURANGA

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wa pili (kushoto)akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji Bw. Nata (kulia) Chanjo ya homa ya ugonjwa wa homa ya Mapafu ya ng’ombe Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.