MNADA WA UPILI WA PUGU KUWA MNADA WA KIMATAIFA-LUHAGA MPINA

Imewekwa: Wednesday 28, March 2018

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Luhaga Joelson Mpina akiambatana na Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Maria mashingo alipofanya ziara ya kukagua eneo la mnada huo lililovamiwa na wananchi na kujionea hali halisi ya uvamizi wa eneo hilo.

.