MHE WAZIRI ASHIRIKI KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI WA SEKTA YA UVUVI NA UFUGAJI VIUMBE KWENYE MAJI - UGANDA.

Imewekwa: Wednesday 28, March 2018

Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi akiwa Entebe Uganda ambapo ameshiriki kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri wa Sekta ya Uvuvi na ufugaji Viumbe Majini chini ya shirika la usimamizi wa rasimali za Uvuvi la Jumuiya ya Afrika Mashariki ( Lake Victoria Fisheries Organization -LVFO).

.