Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE MKOANI SIMIYU

."Wakulima nendeni mkalime, Wafugaji nendeni mkafuge, Wavuvi nendeni mkavue Serikali iko pamoja nanyi kulinda soko la ndani na Mhe. Waziri Mkuu tumekataa kushindwa, tumeshakataa kukatishwa tamaa na mtu yoyote na hatutashindwa Serikali ya awamu tano ipo kushughulikia changamoto zenu zote” amesema Waziri Mpina.