Karibu

Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi...... Soma zaidi

  • news title here
    17
    May
    2024

    TUPAZE SAUTI KUOKOA PUNDA-MNYETI

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka wadau wote wanaosimamia ustawi na haki za wanyama kukemea vikali vitendo vitakavyosababisha kutoweka kwa Punda ili wanyama hao waendelee kuwasaidia wananchi katika shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Soma zaidi

  • news title here
    17
    May
    2024

    WAZIRI MKUU AZINDUA KITUO CHA UFUGAJI MBUZI, KONGWA

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 13, 2024 amezindua na kushuhudia makabidhiano ya Kituo Atamizi cha Ufugaji wa Kibiashara kwa Vijana, baina ya Taasisi ya PASS TRUST na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI)kilichopo Kongwa mkoani Dodoma. Soma zaidi

  • news title here
    17
    May
    2024

    WATUMISHI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WATAKIWA KUWAJIBIKA NA KUWA WAADILIFU

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka watumishi wa wizara hiyo kuwa na uwajibikaji na uadilifu katika makujumu yao ya kuwatumikia wananchi. Soma zaidi

Soma zaidi
  • 13
    Aug
    2018

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki atapokea na kuzindua Mizani itayayotumika kwenye minada ya mifugo kwa ajili hapa nchini.

    Mahali:Dar es Salaam

    Soma zaidi
  • 22
    Jan
    2018

    Utiaji saini makubaliano baina ya Chama cha Ushirika wa Wavuvi – BUKASIGA kilichopo Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza na Sokoine University

    Mahali:Mwanza

    Soma zaidi