Karibu

Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi...... Soma zaidi

  • news title here
    09
    May
    2024

    UPUMZISHWAJI ZIWA TANGANYIKA WAUNGWA MKONO

    Wananchi wanaojishughulisha na uvuvi katika ukanda wa Ziwa Tanganyika wameunga mkono hatua ya serikali ya kupumzisha shughuli za uvuvi katika ziwa Tanganyika ili kulipa nafasi ziwa kuongeza kiwango chake cha uzalishaji wa samaki. Soma zaidi

  • news title here
    05
    May
    2024

    BIL. 3.1 KUTUMIKA KWENYE UKUZAJI VIUMBE MAJI RUVUMA, LINDI

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi chini ya uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu imeanza utekelezaji wa mradi wa kuendeleza Lishe na Ufugaji endelevu wa Viumbe maji kwa wakulima wadogo thamani ya shilingi Bil. 3.1. Soma zaidi

  • news title here
    30
    Apr
    2024

    ULEGA ATEMBELEA MIRADI YA UFUGAJI SAMAKI KATIKA VIZIMBA, MWANZA

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameonesha kufurahishwa na vijana wanaofanya miradi ya ufugaji wa samaki katika vizimba jijini Mwanza baada kuwatembelea na kuona maendeleo mazuri yaliyofikiwa na vijana hao... Soma zaidi

Soma zaidi
  • 13
    Aug
    2018

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki atapokea na kuzindua Mizani itayayotumika kwenye minada ya mifugo kwa ajili hapa nchini.

    Mahali:Dar es Salaam

    Soma zaidi
  • 22
    Jan
    2018

    Utiaji saini makubaliano baina ya Chama cha Ushirika wa Wavuvi – BUKASIGA kilichopo Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza na Sokoine University

    Mahali:Mwanza

    Soma zaidi