UTEUZI WA BODI YA WAKALA YA VYUO VYA MIFUGO TANZANIA

Imewekwa: Tuesday 23, June 2020

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amemteua Prof. Malongo Richard Mlozi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala ya Vyuo vya Mifugo Tanzania (LITA). Kupata orodha kamili ya wajumbe walioteuliwa bofya hapa

.