Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
MPINA ATEUA BODI YA HIFADHI ZA BAHARI NA MAENEO TENGEFU (MPRU)

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amemteua Mhandisi Bonaventura Thobias Baya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU). Kupata orodha kamili ya wajumbe walioteuliwa bofya hapa