MHE. WAZIRI WAKATI MADUME YA NG'OMBE BORA 11 YA MBEGU KATIKA KITUO CHA UZALISHAJI MIFUGO KWA CHUPA (NAIC) ARUSHA.

Posted On: Wednesday 28, March 2018

Waziri amemshukuru na kumpongeza aliekuwa KMM kwa kazi kubwa ya kuhakikisha utoshelevu wa mbegu za AI kwa kuwepo kwa jumla ya madume bora 26 hadi sasa yenye uwezo wa kuzalisha jumla ya dozi 3,120,000 kwa mwaka, na kuandaa mpango maalum wa kuhimilisha Ng'ombe Milioni moja wa maziwa.

.