Katibu Mkuu Uvuvi akisalimiana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida

Imewekwa: Monday 24, September 2018

ALIYOSEMA KATIBU MKUU UVUVI, KATIKA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN LEO TAREHE 17/09/2018. DSM

*Mazungumzo ya Katibu Mkuu Uvuvi na Balozi wa Japana Bw. Masaharu Yoshida ni kuangalia namna ya kuweza kushirikiana kupata teknolojia rahisi ya kutengeneza meli za Uvuvi na dhana bora za Uvuvi.

*Inahitajika Bil. 10 hadi Bil. 20 kwa ajili ya kuwasaidia Wavuvi wetu kupata nyavu bora na kwa bei nafuu

*Lengo letu hasa kama Serikali ni kuangalia namna gani ya kutafuta wawekezaji katika kuendesha Shirika la uvuvi Tanzania. - KM Uvuvi

"Bil. 45 imetengwa kwa ajili ya kuweza kuendeleza Shirika hili na kununua meli za uvuvi. - KM

*Tunaangalia uwezekano wa Serikali ya Japan kuweza kufadhili hatua za mwanzo katika kupata meli za Uvuvi ambazo zitatengenezwa kwa teknolojia nafuu na kuweza kuziendesha kwa urahisi. Dr. Tamatama

Alisema KM U tunaupungufu wa Wataalamu wa uvuvi jambo ambalo ni muhimu kuliangalia ili kuwaelimisha wavuvi wetu katika hizi teknolojia mpya zinazokuja.

*Wizara itasimamia kwa kushirikiana na TADB na Halmashaur ya Mkoa wa simiyu kwa ajili ya kutengeneza nyavu za uvuvi na sio kutegemea nyavu kutoka Nchi jirani. KM - U

*Rol 1 ya mita 80 ni Tshs 46 elfu ambapo wafanyabiashara wakipeleka Kanda ya Ziwa wanauza tshs laki 1 sawasawa na mara tatu ya bei halisi, jambo ambalo linawaliza wavuvi - KM

*Hivyo, tukihakikisha tunaanzisha viwanda vyetu tunaweza kufunga mianya yote ya nyavu haramu na kuweza kutengeneza wenyewe nyavu bora. Dr. Rashid

Naye Balozi wa Japana alikuwa na haya ya kusema, "

*This joint Project is very important, we need to corporate with UNDP, Government of Japan and Government of Tanzania to get your own Patrol Boat so as to avoid any kind of Illegal Fishing that come accross.

*However it is better to plan first and get basic statistics rather than getting boat. said, Mr. Yoshida

*We need to stop overfishing and use proper fishing net - Ambassador

*TAFICO also, should be trained to control, maintain and operate before using this fishing boats.

*Also we should pick and contact fishing association which is trustable that we can easy produce.

.