Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

UFUNGUZI WA MSIMU WA NYANGUMI 2026

02 September, 2026 - 05 September, 2026
08:00:00 - 18:00:00
MTWARA
Halima

Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Taasisi yake ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU) inatarajiwa kufanya ufunguzi wa msimu wa  Nyangumi utakaofanyika eneo la Msimbati mkoani Mtwara 

UFUNGUZI WA MSIMU WA NYANGUMI 2026
Mrejesho, Malalamiko au Wazo