NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ASALIMIANA NA DG WA SHIRIKA LA FAO – SUDAN

Posted On: Wednesday 28, March 2018

Mhe Abdallah Ulega amepata nafasi adhimu kabisa ya kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani DG. Jose Graziano da Silva. Lengo mahsusi kabisa ilikuwa ni kushukuru kwa jinsi FAO ambavyo imekuwa ikisaidia na inavyoendelea kusaidia katika masuala mbalimbali.

.