ZIARA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI NA NAIBU WAKE
ZIARA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI NA NAIBU WAKE
17 December, 2025 - 01 October, 2026
07:00:00 - 17:03:00
Singida,Manyara,Zanzibar,Lindi,Kanda ya Ziwa
Kumbuka Ndata, 0715488243
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt.Bashiru Ally Kakurwa na Naibu wake Mhe. Ng'wasi Kamani wanatarajia kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Singida, Manyara, Lindi, Kanda ya Ziwa na Visiwani Zanzibar.