KAMPENI YA KITAIFA YA CHANJO ZA MIFUGO
KAMPENI YA KITAIFA YA CHANJO ZA MIFUGO
15 April, 2025 - 30 April, 2025
06:00:00 - 18:27:00
MPWAPWA
mtamike.omary@gmail.com
Wizara ya Mifugo na Uvuvi inatarajia kufanya kampeni ya kitaifa ya chanjo za Mifugo ambapo wafugaji watapata fursa ya kuchanja na kutambua Mifugo yao.
