Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Mhe Waziri akizindua Shirika la Uvuvi Tanzania TAFICO - Kigamboni Jijini Dar es Salaam

Shirika la Uvuvi la Tanzania (Tanzania Fisheries Corporation-TAFICO) lilianzishwa mwaka 1974 kwa Tangazo la Serikali Na. 58 la tarehe 03 Januari 1974 toleo la II chini ya Sheria ya Makampuni ya Umma Na. 17 ya mwaka 1969. Shirika hili lilikuwa na Makao yake Makuu Kigamboni, Dar es Salaam.