Albamu ya Video

 • MAKALA: MAFANIKIO YA OPERESHENI SANGARA

  MAKALA: MAFANIKIO YA OPERESHENI SANGARA

  November 30, 2020

  Karibu katika makala maalum inayoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kukufahamisha majukumu na mafanikio mbalimbali ya wizara hii na taasisi zilizo chini yake pamoja na kukuelimisha wewe mwananchi namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta ya mifugo na uvuvi. Makala hii itakufahamisha namna serikali inavyotilia mkazo katika kudhibiti uvuvi haramu kupitia 'Operesheni Sangara' ambao umekuwa ukifanywa katika bahari na maziwa kwa kutumia vitendea kazi visivyoruhusiwa kisheria, uvuvi unaoathiri mazalia ya viumbe hai majini pamoja na kuvua viumbe maji ambavyo haviruhusiwi kisheria kutokana na umri wao pamoja uchache wao.

 • MAKALA: KONGAMANO LA WADAU WA TASNIA YA NGOZI

  MAKALA: KONGAMANO LA WADAU WA TASNIA YA NGOZI

  November 30, 2020

  Karibu katika makala maalum inayoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kukufahamisha majukumu na mafanikio mbalimbali ya wizara hii na taasisi zilizo chini yake ambapo katika makala hii utafahamu namna wadau wa tasnia ya ngozi walivyoshiriki katika kongamano maalum jijini Mwanza lililofanyika tarehe 29.09.2020 kujadili namna ya kuliboresha zao la ngozi nchini kufuatia uwepo wa viwanda vya kutengeneza bidhaa zitokanazo na zao hilo.

 • ZIARA YA PROF. OLE GABRIEL ARUSHA/MANYARA.

  ZIARA YA PROF. OLE GABRIEL ARUSHA/MANYARA.

  November 30, 2020

  Tazama hapa kwa ufupi ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel aliyoifanya Mkoani Arusha na Manyara Novemba 7, 2020.

 • YALIYOJIRI OKTOBA, 2020.

  YALIYOJIRI OKTOBA, 2020.

  November 08, 2020

  Tazama hapa matukio yaliyojiri ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kipindi cha Mwezi Oktoba, 2020.

 • TAZAMA ALICHOKISEMA PROF. GABRIEL WAKATI MAKATIBU WAKUU WALIPOTEMBELEA MNADA WA UPILI WA KIZOTA.

  TAZAMA ALICHOKISEMA PROF. GABRIEL WAKATI MAKATIBU WAKUU WALIPOTEMBELEA MNADA WA UPILI WA KIZOTA.

  November 08, 2020

  Makatibu Wakuu watatu kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Wizara ya Ardhi na TAMISEMI wametembelea Mnada wa Upili wa Kizota mkoani Dodoma ili kuona namna kazi zinavyofanyika mnadani hapo.

.