Albamu ya Video

 • MAKALA: MCHANGO WA DIT KATIKA TASNIA YA NGOZI NCHINI

  MAKALA: MCHANGO WA DIT KATIKA TASNIA YA NGOZI NCHINI

  November 30, 2020

  Karibu katika makala maalum itakayokufahamisha historia fupi na majukumu ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza yakiwemo ya kutoa elimu ili kuhakikisha wananchi wanapata ujuzi mbalimbali kupitia taasisi hiyo. Makala hii itaangazia zaidi namna taasisi ya DIT Kampasi ya Mwanza inavyoliongezea thamani zao la ngozi kupitia hatua mbalimbali ikiwemo ya elimu ya darasani na vitendo ili kuhakikisha wanafunzi wanapata ujuzi wa kiwango cha juu.

 • Dkt. Tamatamah:

  Dkt. Tamatamah: "Ninawaonya mtakaoshindwa kukamilisha miradi ya SWIOFISH mwezi Desemba 2020"

  November 30, 2020

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah amewataka makandarasi wanaojenga ofisi za BMU katika mikoa ya Pwani, Tanga na Lindi pamoja na maabara ya utafiti wa uvuvi Tanzania jijini Dar es Salaam kukamilisha miradi hiyo mwezi Desemba Mwaka 2020. Dkt. Tamatamah amebainisha hayo baada ya kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Pwani, Tanga na Dar es Salaam kukagua miradi hiyo.

 • PONGEZI KWA VIONGOZI WAKUU WA NCHI!

  PONGEZI KWA VIONGOZI WAKUU WA NCHI!

  November 30, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na taasisi zake, inatoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wake Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuaminiwa na kupatiwa ridhaa ya kuiongoza nchi kwa kipindi cha awamu ya pili ya miaka mitano ijayo. Aidha, Wizara ya Mifugo na Uvuvi inampongeza Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa na wananchi wa Zanzibar kuwa Rais wa nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar. Pia, wizara inampongeza Mbunge wa Ruangwa Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuteuliwa na hatimaye kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili.

 • MAFUNZO YA WAKAGUZI WA VYAKULA VYA MIFUGO YAFUNGWA MWANZA.

  MAFUNZO YA WAKAGUZI WA VYAKULA VYA MIFUGO YAFUNGWA MWANZA.

  November 30, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo imehitimisha rasmi mafunzo ya wakaguzi wa vyakula vya Mifugo yaliyofanyika kuanzia jana hapa Mkoani Mwanza

 • WAFUGAJI WAKIJENGEWA UWEZO WATAKUZA UCHUMI WA TAIFA- MONGELA.

  WAFUGAJI WAKIJENGEWA UWEZO WATAKUZA UCHUMI WA TAIFA- MONGELA.

  November 30, 2020

  Wakaguzi wa vyakula vya mifugo leo wamepewa mafunzo yanayohusu uendelezaji wa malisho na rasilimali za vyakula vya mifugo hapa mkoani Mwanza.

.