Albamu ya Video

 • KUHUSU MRADI WA FISH4ACP

  KUHUSU MRADI WA FISH4ACP

  May 08, 2021

  Sikiliza hapa kwa ufupi maelezo kuhusu mradi wa FISH4ACP.

 • YALIYOJIRI,NOVEMBA 2020

  YALIYOJIRI,NOVEMBA 2020

  May 08, 2021

  Yaliyojiri Wizara ya Mifugo na Uvuvi Novemba,2020.

 • WATAALAMU WA UZALISHAJI NA UENDELEZAJI WA MIFUGO WAMTEMBELEA WAZIRI MKUU (MST.), PINDA, DODOMA

  WATAALAMU WA UZALISHAJI NA UENDELEZAJI WA MIFUGO WAMTEMBELEA WAZIRI MKUU (MST.), PINDA, DODOMA

  May 08, 2021

  ZIARA YA WATAALAMU WA UZALISHAJI NA UENDELEZAJI WA MIFUGO NYUMBANI KWA WAZIRI MKUU (MST.), MIZENGO PINDA, DODOMA DISEMBA 3, 2020.

 • WATAALAMU WAHIMIZWA KUINUA MINYORORO YA THAMANI YA MIFUGO

  WATAALAMU WAHIMIZWA KUINUA MINYORORO YA THAMANI YA MIFUGO

  May 08, 2021

  Wataalamu wa Mifugo wametakiwa kutumia taaluma zao na kushiriki kikamilifu katika kubuni mbinu za kisasa za kuinua viwango vya minyororo ya thamani ya mazao ya Mifugo na Uvuvi ili kuleta tija na kukidhi mahitaji ya uchumi wa viwanda kwa maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi. Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Amos Zephania alisema hayo alipokuwa akifungua Kongamano la 43 la Kisayansi la Uzalishaji na Uendelezaji wa Mifugo na Uvuvi na Mkutano wa 44 wa mwaka wa Chama cha Wataalamu wa Uzalishaji na Uendelezaji wa Mifugo Tanzania linalofanyika jijini Dodoma kuanzia Desemba 2- 4, 2020.

 • UZALISHAJI WA MAZIWA NCHINI WAONGEZEKA, UNYWAJI BADO UKO CHINI!

  UZALISHAJI WA MAZIWA NCHINI WAONGEZEKA, UNYWAJI BADO UKO CHINI!

  May 08, 2021

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amesema uzalishaji wa maziwa nchini unazidi kuongezeka kutoka lita bilioni 2.7 kwa mwaka hadi lita bilioni 3.01, huku matumizi ya maziwa yakiripotiwa kuwa bado yako chini. Akizungumza jana (02.12.2020) alipotembelea kiwanda cha Galaxy Food and Beverages Limited kilichopo Mkoani Arusha ili kujionea namna viwanda vya maziwa vinavyozingatia ubora wa bidhaa wanazozalisha, Prof. Gabriel amesema bado jitihada zinatakuwa katika kuhamasisha wananchi kunywa maziwa katika kuboresha afya zao.

.