Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
Ndaki acharuka Kilosa!
March 09, 2023Ndaki acharuka Kilosa! Atoa maagizo mazito
-
SERIKALI YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UVUVI
March 09, 2023SERIKALI YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UVUVI
-
WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGIZA WAFUGAJI WAPANGWE UPYA KWENYE RANCHI YA USANGU
March 09, 2023Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki pamoja na viongozi wa Ranchi za Taifa waende kwenye Ranchi ya Usangu na kuwapanga upya wafugaji ili manufaa ya ufugaji yaonekane ikiwemo uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ya mifugo.
-
SERIKALI YATATUA MGOGORO ULIODUMU KWA MIAKA 15 WILAYANI MBARALI
March 09, 2023Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeumaliza mgogoro wa matumizi ya ardhi wilaya Mbarali mkoani Mbeya uliodumu kwa miaka 15 ambao ulihusisha wakazi wa wilaya hiyo katika eneo la Bonde la Usangu dhidi ya hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
-
Bucha na minada ifunguliwe mapema sana-Ulega.... Nzunda abainisha mwarobaini wa NARCO!
March 09, 2023Bucha na minada ifunguliwe mapema sana-Ulega.... Nzunda abainisha mwarobaini wa NARCO!