Albamu ya Video

 • ELIMIKA kuhusu hatua ya kutotolesha mayai na kupanda samaki kwenye bwawa..

  ELIMIKA kuhusu hatua ya kutotolesha mayai na kupanda samaki kwenye bwawa..

  May 12, 2022

  Ikiwa ni Muendelezo wa segment yetu mpya ya "ELIMIKA" kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Leo pata fursa ya kuelimika kuhusu namna ya kutotolesha na kupanda mayai ya samaki kwenye bwawa..

 • "ELIMIKA" kuhusu historia na majukumu ya LITA.

  May 12, 2022

  Katika Mfululizo wa Segment yetu mpya ya ELIMIKA pata fursa ya kufahamu kuhusu historia na majukumu ya Wakala ya vyuo vya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA).

 • Ndaki avunja ukimya kuhusu eneo la Chibe..

  Ndaki avunja ukimya kuhusu eneo la Chibe..

  May 12, 2022

  Aaagiza wavamizi wote waondoke kufika Agosti 30 na baada ya hapo watakaobaki wataondolewa..

 • DKT. RASHID TAMATAMAH AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WATUMISHI SEKTA YA UVUVI.

  DKT. RASHID TAMATAMAH AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WATUMISHI SEKTA YA UVUVI.

  May 12, 2022

  .

 • MAKALA: UMUHIMU WA SHAMBA LA MALISHO YA MIFUGO (VIKUGE)

  MAKALA: UMUHIMU WA SHAMBA LA MALISHO YA MIFUGO (VIKUGE)

  May 12, 2022

  .

.
Tanzania Census 2022 Tanzania Census 2022