Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
NDAKI AWAHIMIZA WAFUGAJI WALIOPO KWENYE HIFADHI YA NGORONGORO KUHAMIA MSOMERA
May 12, 2022.
-
NDAKI AMSIMAMISHA KAZI MKANDARASI TANGA
May 12, 2022Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amemsimamisha kazi mkandarasi aliyekuwa anajenga miundombinu ya mnada wa Ndelema wilayani Handani mkoani Tanga.
-
WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. MASHIMBA NDAKI AELEZA SUALA LA MALISHO NA MAJI KWA WAFUGAJI, DODOMA.
May 12, 2022.
-
Nzunda amewataka watendaji kuzuia utoroshwaji na ungizwaji wa mifugo mipakani bila kufuata utaratibu
May 12, 2022Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Bw. Tixon Nzunda amewataka watendaji katika ngazi zote kuzuia utoroshwaji na ungizwaji wa mifugo bila kufuata utaratibu na kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji wa maduhuli ya serikali.
-
Bado Wafugaji hawajanufaika ipasavyo- Nzunda
May 12, 2022Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Tixon Nzunda amesema kuwa pamoja na jitihada kubwa zinazofanyika kwenye sekta ya mifugo nchini, bado jamii inayoshughulika na shughuli za ufugaji haijanufaika kikamilifu kutokana na jitihada hizo.