Albamu ya Video

 • SEKTA YA UVUVI YAPATA MAGARI MAPYA

  SEKTA YA UVUVI YAPATA MAGARI MAPYA

  May 08, 2021

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah leo (22.12.2020) amekabidhi magari mapya matatu yatakayotumiwa na Sekta ya Uvuvi.

 • "VIONGOZI MFANYE KAZI KWA WELEDI MSITANGULIZE UBINAFSI NA MASLAHI YENU" PROF. OLE GABRIEL

  May 08, 2021

  "VIONGOZI MFANYE KAZI KWA WELEDI MSITANGULIZE UBINAFSI NA MASLAHI YENU" PROF. OLE GABRIEL

 • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MCHANGO WA SWIOFISH KATIKA SEKTA YA UVUVI NCHINI)

  KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MCHANGO WA SWIOFISH KATIKA SEKTA YA UVUVI NCHINI)

  May 08, 2021

  Karibu katika makala maalum inayoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kukufahamisha majukumu, mafanikio, mikakati na fursa mbalimbali zilizopo kupitia wizara hii na taasisi zilizo chini yake pamoja na kukuelimisha wewe mwananchi namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta za mifugo na uvuvi. Ninayekukaribisha katika makala hii ni Edward Kondela kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ambapo katika makala hii ya leo nitakufahamisha namna Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi Kusini Magharibi Mwa Bahari ya Hindi (SWIOFish), ambavyo umekuwa ukileta matokeo chanya katika Sekta ya Uvuvi nchini.

 • ZIARA YA MHE. NDAKI KWENYE SHAMBA LA WAZIRI MSTAAFU, MHE. MIZENGO PINDA

  ZIARA YA MHE. NDAKI KWENYE SHAMBA LA WAZIRI MSTAAFU, MHE. MIZENGO PINDA

  May 08, 2021

  Tazama hapa ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki akiwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Pauline Gekul waliyoifanya jana kwenye shamba la Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda.

 • ZIARA YA MHE WAZIRI MACHINJIO YA DODOMA

  ZIARA YA MHE WAZIRI MACHINJIO YA DODOMA

  May 08, 2021

  Tazama hapa Ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Pauline Gekul waliyoifanya jana kwenye machinjio ya Dodoma.

.
Tanzania Census 2022 Tanzania Census 2022