Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
TAZAMA YALIYOSEMWA NA PROF. GABRIEL BAADA YA KUMALIZA KIKAO NA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO - ARUSHA
May 08, 2021Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel amefanya kikao na wadau wa sekta ya mifugo kwa lengo la kusikiliza changamoto walizonazo na ushauri wao katika kuboresha sekta hiyo.
-
PROF. GABRIEL AIPA SIKU 14 KAMPUNI YA ZECO KUKAMILISHA UKARABATI WA BWAWA LA KIMOKOWUA MKOANI ARUSHA
May 08, 2021Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel ameipa kampuni ya ZECO siku 14 kukamilisha ukarabati wa Bwawa la Kimokowua lililopo wilayani Longido, mkoani Arusha.
-
NDAKI AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUTIMIZA MALENGO YA WIZARA.
May 08, 2021TAZAMA YALIYOSEMWA KATIKA KIKAO CHA WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI NA WATUMISHI WA WIZARA NA BAADHI YA WATUMISHI WA TAASISI NA WAKALA ZAKE.
-
KIPINDI (Mapokezi ya Mawaziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi)
May 08, 2021Disemba 9,2020 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Pauline Gekul walipokelewa na Viongozi na watendaji mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Machinjio ya Dodoma ikiwa ni muda mfupi tu baada ya kuapishwa kwao.... Endelea kutazama zaidi namna mapokezi hayo yalivyokuwa na walichofanya baada ya kupokelewa.
-
Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa Swiofish
May 08, 2021Taasisi zinazohusika na utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi Kusini Magharibi mwa Bahari ya Hindi (SWIOFish) wamekutana kujadili na kufanya tathimini ya utekelezaji wa mradi huo wa miaka sita (6) ili kupima mafanikio na mapungufu yaliyojitokeza kabla ya kufanya maamuzi ya kuendelea na awamu ya pili ya utekelezaji wake.