Albamu ya Video

 • https://www.youtube.com/watch?v=bN5Bl8k8hTg

  https://www.youtube.com/watch?v=bN5Bl8k8hTg

  June 17, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inavyofanya jitihada mbalimbali kuhakikisha mifugo haifi kwa magonjwa kwa kuweka mipango madhubuti ya wafugaji kuogesha mifugo yao katika majosho kwa kutumia dawa zinazotolewa kwa ruzuku na serikali. Utafahamu mengi zaidi kwa kumshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) akibainisha hayo wakati wa uzinduzi wa josho lililopo katika viwanja vya nanenane katika Kata ya Nyakabindi, Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu.

 • Ufunguzi wa shamba la Samaki Kigamboni

  Ufunguzi wa shamba la Samaki Kigamboni

  June 17, 2020

  Ni lile linalofuga samaki kwa njia za kisasa

 • Mgogoro wa Ng’ombe 336 zilizokamatwa eneo la pori la Akiba la Maswa kutatuliwa !

  Mgogoro wa Ng’ombe 336 zilizokamatwa eneo la pori la Akiba la Maswa kutatuliwa !

  June 17, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina atatua mgogoro wa Wafugaji waliokamatwa na ng’ombe 336 ndani ya pori la Akiba la Maswa Mkoani Simiyu.

 • Waziri Mpina azindua josho la Nyakabindi - Simiyu

  Waziri Mpina azindua josho la Nyakabindi - Simiyu

  June 17, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Joelson Mpina azindua josho la kuogeshea mifugo la Nyakabindi tarehe 11/02/2020 Mkoani Simiyu, asisitiza wafugaji kutunza miundo mbinu inayowekwa.

 • Namna Mawaziri Watatu walivyokutana kutangaza Utalii wa Fukwe!

  Namna Mawaziri Watatu walivyokutana kutangaza Utalii wa Fukwe!

  June 17, 2020

  Ni katika Kisiwa cha Sinda

.