Albamu ya Video

 • Mitumbwi 68 ya kuvulia samaki iliyoshikiliwa katika Mwalo wa Nyamukoma kuachiwa Wavuvi

  Mitumbwi 68 ya kuvulia samaki iliyoshikiliwa katika Mwalo wa Nyamukoma kuachiwa Wavuvi

  June 17, 2020

  Mitumbwi 68 iliyoshikiliwa kwenye Mwalo wa Nyamikoma katika Wilaya Busega imeachiliwa baada ya Waziri mwenye dhamana ya mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina kuruhusu mitumbwi hiyo iachiliwe na kujiepusha na Uvuvi haramu.

 • Msikilize hapa Mkurugenzi Msaidizi wa uratibu wa sera-OFISI YA WAZIRI MKUU, Bi. Devotha Gabriel

  Msikilize hapa Mkurugenzi Msaidizi wa uratibu wa sera-OFISI YA WAZIRI MKUU, Bi. Devotha Gabriel

  June 17, 2020

  Ni kwenye Mkutano uliohusisha wataalam kutoka Wizara za kisekta zinazotekeleza mradi wa ASDP II.

 • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (ZIARA YA NAIBU WAZIRI ULEGA MKOANI TANGA YAJA NA FARAJA)

  KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (ZIARA YA NAIBU WAZIRI ULEGA MKOANI TANGA YAJA NA FARAJA)

  June 17, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu yaliyojiri katika ziara ya Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega Tanga baada ya kukutana na wadau wa sekta za mifugo na uvuvi mkoani Tanga ambapo ziara hiyo imekuwa na faraja kubwa kwao.

 • Zoezi la Uogeshaji na Kugawa Dawa za Kuogesha Mifugo - Maswa

  Zoezi la Uogeshaji na Kugawa Dawa za Kuogesha Mifugo - Maswa

  June 17, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina ashiriki zoezi la kuogesha mifugo na kukabidhi Dawa za kuogeshea mifugo aina ya (Paranex) katika josho la Mwandete Wilaya ya Maswa, Serikali ya awamu ya tano, imejipanga. kuhakikisha changamoto na mateso ya wafugaji yanapigwa marufuku.

 • Mnada wa Maligisu Wilaya ya Kwimba kufutwa! - Waziri Mpina

  Mnada wa Maligisu Wilaya ya Kwimba kufutwa! - Waziri Mpina

  June 17, 2020

  Waziri Mpina akizungumza na Wananchi Wilayani Maswa na kusema kuwa, Mnada wa awali wa Jija urejeshewe haki zake zote kwa kutoingiliwa na wananchi wa Maligisu katika Wilaya ya Kwimba, hivyo watafute eneo sehemu nyingine.

.