Albamu ya Video

 • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAIDA ZA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA UGANI NA WAFUGAJI)

  KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAIDA ZA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA UGANI NA WAFUGAJI)

  June 17, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna serikali ilivyo na mikakati ya kukutana na maafisa ugani na wafugaji kote nchini na kuwapatia mafunzo rejea kuhusu sekta ya mifugo nchini. Kwenye makala haya utashuhudia timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ikishirikiana na wataalamu kutoka Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kutoa mafunzo hayo.

 • Mafunzo ya kuongeza thamani ya Ngozi!

  Mafunzo ya kuongeza thamani ya Ngozi!

  June 17, 2020

  Kwa wadau wote wa mnyororo wa thamani wa bidhaa hiyo mkoani Mwanza.

 • Vyakula vya Mifugo lazima vikatiwe vibali, Tabora

  Vyakula vya Mifugo lazima vikatiwe vibali, Tabora

  June 17, 2020

  “Vibali vikatwe kwa Kusafirisha vyakula vya Mifugo nje ya nchi, alisema Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa malisho na rasilimali za vyakula vya Mifugo Dkt. Asimwe L Ruguza.

 • Waziri atatua Mgogoro wa kuanzishwa kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (WMA) kinyemela

  Waziri atatua Mgogoro wa kuanzishwa kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (WMA) kinyemela

  June 17, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina ametatua Mgogoro wa kuanzishwa kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (WMA) ambayo ilianzishwa kinyume na utaratibu, Iliyofanyika katika Mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Maliwanda katika Wilaya ya Bunda

 • YALIYOJIRI MWEZI FEBRUARI, 2020

  YALIYOJIRI MWEZI FEBRUARI, 2020

  June 17, 2020

  Tafadhali tazama matukio yaliyojiri Mwezi Februari kwa Muhtasari ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

.