Albamu ya Video

 • KIPINDI (ZIARA YA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI KWENYE SEKTA YA UVUVI MKOANI KAGERA.

  KIPINDI (ZIARA YA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI KWENYE SEKTA YA UVUVI MKOANI KAGERA.

  June 17, 2020

  Ni makala ambayo huletwa kwako kwa lengo la kukuelimisha juu ya namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta za mifugo na uvuvi. Leo makala haya yanaangazia ziara ya kamati ya kudumu ya bunge ya kilimo, mifugo na maji kukagua maendeleo ya sekta ya uvuvi huko mkoani Kagera.

 • YALIYOJIRI (MWEZI MACHI, 2020)

  YALIYOJIRI (MWEZI MACHI, 2020)

  June 17, 2020

  Ni kipindi kinachokuletea kwa muhtasari tu matukio yote muhimu yaliyofanyika ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwezi husika.

 • KIPINDI : MIFUGO NA UVUVI ( Ziara ya kamati ya kilimo, Mifugo na Maji kwenye sekta ya mifugo Kagera)

  KIPINDI : MIFUGO NA UVUVI ( Ziara ya kamati ya kilimo, Mifugo na Maji kwenye sekta ya mifugo Kagera)

  June 17, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekuwa ikikuletea vipindi vinavyolenga kukufahamisha namna ya kujikwamua kiichumi kupitia sekta ya mifugo na uvuvi.

 • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MCHANGO WA TAFIRI KATIKA KUKUZA SEKTA YA UVUVI NCHINI)

  KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MCHANGO WA TAFIRI KATIKA KUKUZA SEKTA YA UVUVI NCHINI)

  June 17, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu mchango wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) inavyofanya jitihada mbalimbali katika kukuza sekta ya uvuvi hapa nchini.

 • Sikiliza hapa Ujumbe wa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (MIFUGO) Prof.Elisante Ole Gabriel

  Sikiliza hapa Ujumbe wa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (MIFUGO) Prof.Elisante Ole Gabriel

  June 17, 2020

  Ni kuhusu Ugonjwa wa Corona

.