Albamu ya Video

 • Vikundi 25 vyanufaika na kuku kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi

  Vikundi 25 vyanufaika na kuku kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi

  June 27, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekabidhi vifaranga vya kuku aina ya 'kroiler' kwa vikundi 25 kutoka Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoitoa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega Oktoba 4, 2019 wakati wa mafunzo ya ufugaji katika wilaya hiyo.

 • Katibu Mkuu Uvuvi, Dkt.Rashid Tamatamah akiongea na watumishi wa sekta ya uvuvi

  Katibu Mkuu Uvuvi, Dkt.Rashid Tamatamah akiongea na watumishi wa sekta ya uvuvi

  June 20, 2020

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi ( Uvuvi ), Dkt.Rashid Tamatamah akiongea na watumishi wa sekta ya uvuvi wakati akifungua mafunzo ya maadili ya utumishi wa umma yaliyofanyika katika ukumbi wa St. Gasper - Dodoma. (18.06.2020)

 • "Wataalam hakikisheni TVLA inapata ithibati ya kimataifa." Naibu Waziri Ulega

  June 20, 2020

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amepokea msaada wa vifaa vya maabara kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kwa ajili ya Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) na kutaka wataalam kutumia vifaa hivyo vyema na kuhakikisha TVLA inapata ithibati ya kimataifa.

 • MHE.MAGUFULI KUHUSU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO YA URAIS WAKE.

  MHE.MAGUFULI KUHUSU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO YA URAIS WAKE.

  June 20, 2020

  Tazama hapa mafanikio aliyoyaainisha Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kipindi cha Miaka mitano ya Urais wake.

.