Albamu ya Video

 • Tazama namna Wizara ya Mifugo na Uvuvi ilivyogawa jumla ya vifaranga 650 jijini Dodoma leo!

  Tazama namna Wizara ya Mifugo na Uvuvi ilivyogawa jumla ya vifaranga 650 jijini Dodoma leo!

  July 09, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Idara ya Uzalishaji na Masoko leo imegawa jumla ya Vifaranga 650 na nyenzo nyingine za kusaidia ufugaji wa vifaranga hao vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya Shilingi milioni mbili (2) kwa kikundi cha Vijana cha ASACRI YOUTH GROUP kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Jiji la Dodoma.

 • TANGAZO KWA WADAU WOTE WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

  TANGAZO KWA WADAU WOTE WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

  July 01, 2020

 • TAARIFA KWA WATAALAM WA MIFUGO

  TAARIFA KWA WATAALAM WA MIFUGO

  June 27, 2020

  "Wataalam wote wa mifugo ni lazima wahuishe taarifa zao kwenye daftari la usajili, daftari la kuandikishwa na daftari la kuorodheshwa" Dr. Masuruli.

 • Ziara ya timu ya wataalam kutoka ILALA MC

  Ziara ya timu ya wataalam kutoka ILALA MC

  June 27, 2020

  Tazama kwa ufupi ziara ya wataalam kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala walipotembelea machinjio ya Dodoma kwa ajili ya kupata uzoefu na kujifunza namna ya kuendesha machinjio ya kisasa leo (26.06.2020)

 • Prof. Ole Gabriel alivyoupokea ujumbe kutoka Manispaa ya Ilala

  Prof. Ole Gabriel alivyoupokea ujumbe kutoka Manispaa ya Ilala

  June 27, 2020

  Tazama hapa namna Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi alivyoupokea ujumbe kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala uliofika kwa ajili ya kupata uzoefu wa kuendesha machinjio kisasa.

.