Albamu ya Video

 • Nchi zilizopo eneo la Ziwa Victoria zaweka mikakati endelevu ya ziwa hilo.

  Nchi zilizopo eneo la Ziwa Victoria zaweka mikakati endelevu ya ziwa hilo.

  July 09, 2020

  Viongozi na watendaji wa umoja wa nchi zilizopo eneo la Ziwa Victoria wamefanya mkutano usiyokuwa wa kawaida kwa njia ya video ambapo wamekubaliana matumizi bora ya ziwa hilo.

 • Wadau wakaribishwa kupata leseni za uvuvi wa bahari kuu

  Wadau wakaribishwa kupata leseni za uvuvi wa bahari kuu

  July 09, 2020

  Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) yawakaribisha wadau kupata leseni kwa ajili ya uvuvi wa bahari kuu pamoja na kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa zikiwemo za mawasiliano.

 • MKUTANO WA NCHI ZINAZOPAKANA NA ZIWA VICTORIA

  MKUTANO WA NCHI ZINAZOPAKANA NA ZIWA VICTORIA

  July 09, 2020

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega anaeleza mambo waliyokubaliana kwenye Mkutano wa Viongozi wa nchi zilizopo karibu na Ziwa Victoria.

 • Wizara ya Mifugo na Uvuvi (SABASABA 2020)

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi (SABASABA 2020)

  July 09, 2020

  Fahamu mambo mbalimbali ambayo utayaona na kuyajua kwa kina upande wa Sekta ya Uvuvi pindi ukifika ndani ya banda la Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya SabaSaba 2020 hapa jijini Dar-es-Salaam.

 • Wizara ya Mifugo na Uvuvi (SABASABA 2020)

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi (SABASABA 2020)

  July 09, 2020

  Tazama mambo ambayo utayapata pindi ukitembelea banda la maonesho la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya SabaSaba 2020 jijini Dar-es-Salaam.

.