Albamu ya Video

  • KIPINDI: UMUHIMU WA USHIRIKA KWENYE UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA

    KIPINDI: UMUHIMU WA USHIRIKA KWENYE UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA

    December 12, 2022

    Ushirika ni ngao muhimu kwa maendeleo ya sekta yoyote hapa nchini na kwa upande wa sekta ya Mifugo, Shirika la kimataifa la Heifer limefanikiwa kuunganisha wafugaji na ng'ombe wa maziwa na kuwaweka katika ushirika ili kuongeza tija, tazama zaidi hapo.

  • WAFUGAJI WATAKIWA KWENDA KWENYEMAENEO YALIYOTENGWA

    WAFUGAJI WATAKIWA KWENDA KWENYEMAENEO YALIYOTENGWA

    November 08, 2022

    WAFUGAJI WATAKIWA KWENDA KWENYEMAENEO YALIYOTENGWA

  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTAMBUZI WA MIFUGO KWA KUTUMIA HERENI ZA KIELEKTRONIKI NCHINI

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTAMBUZI WA MIFUGO KWA KUTUMIA HERENI ZA KIELEKTRONIKI NCHINI

    November 08, 2022

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTAMBUZI WA MIFUGO KWA KUTUMIA HERENI ZA KIELEKTRONIKI NCHINI

  • TSAP yaibuka na suluhu za changamoto za Mifugo na Uvuvi..

    TSAP yaibuka na suluhu za changamoto za Mifugo na Uvuvi..

    November 08, 2022

    Kongamano la Chama cha wanataaluma wa sayansi ya uzalishaji wa Mifugo na Uvuvi (TSAP) lililokuwa likifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 26 mwaka huu limefikia tamati jana (28.10.2022) ambapo baada ya majadiliano ya kina yaliyokuwa yakihusu tafiti mbalimbali zilizolenga kuboresha sekta za Mifugo na Uvuvi, wataalam hao wamefikia maazimio kuhusu tafiti hizo.

  • FAHAMU MAJUKUMU YA BODI YA NYAMA TANZANIA (TMB)

    FAHAMU MAJUKUMU YA BODI YA NYAMA TANZANIA (TMB)

    November 08, 2022

    FAHAMU MAJUKUMU YA BODI YA NYAMA TANZANIA (TMB)

.