Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
MTAZAME HAPA WAZIRI MPINA AKITANGAZA KUVUNJA MKATABA NA NICOL
June 10, 2020Aagiza kampuni hiyo ilipe shilingi Bil. 9.7 ambazo Serikali ilipunjwa kwenye biashara ya machinjio.
-
Ziara ya Profesa Ole Gabriel ranchi ya Kongwa -Dodoma
June 10, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel jana (24.12.2019) alifanya ziara kwenye ranchi ya Kongwa iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Bofya hapo uweze kutazama ziara hiyo.
-
Fahamu kwa ufupi historia ya Mnada wa Mifugo uliaonzishwa mwaka 1954.
June 10, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi ( MIFUGO) Prof. Elisante Ole Gabriel akielezea kwa ufupi historia ya mnada mkongwe wa Mifugo wa Themi uliopo jijini Arusha alipotembelea katika eneo hilo tarehe 21.12.2019.
-
Tanzania ni ya Pili kwa Wingi wa Mifugo- Prof. Ole Gabriel
June 10, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo Uvuvi akielezea na kutaja idadi ya mifugo iliyopo nchini hali iliyoifanya kushika nafasi ya pili barani Afrika.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (ULINZI WA RASILIMALI ZA UVUVI KATIKA KUKUZA PATO LA TAIFA)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika kuhakikisha inalinda rasilimali za uvuvi ili ziweze kukuza pato la taifa na mtu mmoja mmoja.