Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
PROF. OLE GABRIEL ATEMBELEA BWAWA ALILOLISIMAMIA UJENZI WAKE ENEO LA BUTIAMA MKOANI MARA
June 10, 2020Ni bwawa lililojengwa kwa thamani ya shilingi mil.50 ambalo pia limewekwa miundombinu ya kuwasaidia wananchi kupata maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UTAFITI, UGANI NA MAFUNZO KWENYE MAENDELEO YA SEKTA YA MIFUGO NCHINI)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Idara ya Utafiti, Ugani na Mafunzo iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi namna inavyohakikisha inaendeleza sekta ya mifugo nchini.
-
KATIBU MKUU MIFUGO ALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA HESTER
June 10, 2020Ni kiwanda kitakachozalisha chanjo za mifugo.
-
TAZAMA HAPA ZIARA YA KATIBU MKUU PROF. OLE GABRIEL KWENYE KIWANDA CHA TANCHOICE LEO!
June 10, 2020Ni kiwanda cha kusindika nyama na mazao yake kilichopo Mkoani Pwani.
-
Ziara ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli - Mkoani Katavi
June 10, 2020