Albamu ya Video

 • KIPINDI (MIFUGO NA UVUVI): MKAKATI WA SERIKALI KUKUZA ZAO LA MWANI

  KIPINDI (MIFUGO NA UVUVI): MKAKATI WA SERIKALI KUKUZA ZAO LA MWANI

  September 20, 2021

  Karibu katika makala maalum inayoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kukufahamisha majukumu, mafanikio, mikakati na fursa mbalimbali zilizopo kupitia wizara hii na taasisi zilizo chini yake pamoja na kukuelimisha wewe mwananchi namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta za mifugo na uvuvi. Ninayekukaribisha katika makala hii ni Edward Kondela kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ambapo katika makala hii ya leo nitakufahamisha namna serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inavyofanya jitihada mbalimbali kuhakikisha inaliongezea thamani zao la mwani ambalo limekuwa likilimwa katika mikoa mbalimbali ya ukanda wa Bahari ya Hindi linakuwa na soko la uhakika ndani na nje ya nchi.

 • ZOEZI LA UTAMBUZI WA NG'OMBE WA ASILI WANAOJULIKANA KWA JINA LA IRINGA RED LIMEFANYWA MKOANI IRINGA.

  ZOEZI LA UTAMBUZI WA NG'OMBE WA ASILI WANAOJULIKANA KWA JINA LA IRINGA RED LIMEFANYWA MKOANI IRINGA.

  September 20, 2021

  Zoezi la utambuzi wa ng'ombe wa asili wanaojulikana kwa jina la Iringa Red limefanywa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Kijiji cha Ifunda, wilaya ya Iringa, mkoani Iringa.

 • WAKABIDHIWA MTAMBO WA BARAFU KUDHIBITI UPOTEVU WA MAZAO YA UVUVI

  WAKABIDHIWA MTAMBO WA BARAFU KUDHIBITI UPOTEVU WA MAZAO YA UVUVI

  September 20, 2021

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega ashuhudia makabidhiano ya mtambo wa kuzalisha barafu katika Kijiji cha Songosongo kilichopo Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi. Mtambo huo umejengwa na Mfuko wa Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF)

 • MAFANIKIO YA WAKALA YA MAFUNZO YA MIFUGO TANZANIA (LITA)

  MAFANIKIO YA WAKALA YA MAFUNZO YA MIFUGO TANZANIA (LITA)

  September 20, 2021

  .

 • WAFANYAKAZI SEKTA YA MIFUGO WAPATA ELIMU YA MAGONJWA NA KUPIMA VVU

  WAFANYAKAZI SEKTA YA MIFUGO WAPATA ELIMU YA MAGONJWA NA KUPIMA VVU

  September 20, 2021

  .

.